Wapiganaji wawili wa kundi la Alshabaab leo wamejisalimisha kwa maafisa wa jeshi la Kenya na kukiri kuwa shughuli za kundi hilo zinasimiwa na baadhi ya magaidi wa kimataifa... Read More
Rais Mwai Kibaki ameagiza kuharakishwa kwa uchunguzi wa sakata ya hazina ya bima ya afya NHIF... Read More
Matayarisho ya kuzindua chama cha the National Alliance kitakachotumiwa na naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao yamekamilika... Read More
Huenda wakenya wakaendelea kupoteza maisha barabarani hususan kutokana na mikasa ya moto inayosababishwa na magari ya kusafirishia mafuta endapo serikali itafeli kutekeleza pendekezo la kuyaondoa magari hayo barabarani... Read More
Mgombea urais nchini Somalia Mohammed Yasin Ismael anautaka utawala wa Sheikh Shariff Ahmedd kungatuka mamlakani iwapo watashindwa kusuluhisha mzozo baina yao... Read More
Get the Flash Player to see this player.

